
Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani
Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE
AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa
mradi wa uzalishaji wa umeme kwa njia rafiki wa mazingira unaoendeshwa
na kampuni ya Engie Afrika wenye uwezo wa kuzalisha 16KW na kuhudumia
zaidi ya kaya 100 katika kijiji cha Kitumbeine wilayani Longido.

Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani
Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE
AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakiwa katika hafla hiyo ya uzinduzi katika
kijiji cha Kitumbeine wilayani Longido.
Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani
Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE
AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakiwa na viongozi wa serikali wilaya ya
Longido na maofisa wa Kampuni ya ENGIE AFRICA wakati wa uzinduzi huo.

Baadhi ya waalikwa wakikwemo wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Longido wakiwa katika hafla hiyo.


No comments:
Post a Comment