Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food
Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani jana
Mbunge wa Mkuranga Mhe Abdallah Ulega akifurahia baada ya Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuzindua
rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products
kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani jana
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa
baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa
Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa
baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa
Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani jana
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa
baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa
Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo jana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage kwenye
sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food
Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani jana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mwenyekiti
wa makampuni ya Bakhresa Group Mzee Said Salim Bakhresa kwenye sherehe
za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhresa Food Products
kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani jana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe Filberto Hassan Sanga alipowasili
kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha
Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa
Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Katibu Mkuu Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru alipowasili
kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha
Bakhresa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa
Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhresa

No comments:
Post a Comment