
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.
Mrisho Gambo akifuatilia na kunakili hoja mbalimbali zilizokuwa
zikiwasilishwa na wadau wa taasisi zisizo za Kiserikali zinazofanya
shughuli zake katika Wilaya ya Ngorongoro wakati wa Kikao kilichofanyika
katika Ofisi yake.

Mkurugenzi wa Taasisi ya PWC Bi.
Manda Ngoitiko(aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya NGO anayoiongoza
wakati wa kikao maalum na Mkuu wa Mkoa pamoja na Kamati ya Ulinzi na
Usalama.

Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa
wa Arusha wakifuatilia kikao wakati wa uwasilishaji wa taarifa za
Taasisi na Kampuni zisizo za Kiserikali zinazofanya kazi katika Wilaya
ya Ngorongoro

Wadau toka kwenye Kampuni na
Taasisi mbalimbali kutoka Ngorongoro walioshiriki katika Kikao maalumu
kilichoitihswa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha


No comments:
Post a Comment