![]() |
| Mamlaka inayosimamia bidhaa na matumizi nchini Rwanda imesema hatua
ya kupiga marufuku simu hizo imechukuliwa kwa sababu za kiusalama. "Kwa sababu za kiusalama, wateja ambao huenda walinunua simu hizi binafsi nje ya nchi wanatakiwa kuzizima na kuzirejesha eneo walizozinunua," imesema taarifa ya kaimu mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo Meja Jenerali Patrick Nyirishema. |



No comments:
Post a Comment