KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 27, 2016

TAMASHA LA UHONDO WA ZANTEL LAZIDI KUPASUA ANGA

Msanii maarufu wa muziki wa ‘singeli’ Rajabu Selemani ‘virusi mdudu’ (kulia), akikonga nyoyo za wakazi wa kimara na maeneo ya jirani katika tamasha la Uhondo za Zantel katika viwanja vya Rhino, Kimara, Dar es Salaam juzi, ikiwa ni moja ya kampeni za kampuni ya simu za mkononi ya Zantel kuwa karibu na wateja wake ikiwajulisha bidhaa na huduma zao zilizopo sokoni.

Baadhi ya watu waliojitokeza katika tamasha la Uhondo wa Zantel wakiselebuka wakati mmoja wa wasanii waliopamba tamasha hilo akitumbuiza.

No comments:

Post a Comment