| Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kwa kanda ya Ziwa Ali Maswanya( fulana ya Blue) akimkabidhi kisima cha maji Mwenyekiti wa kijiji cha Ulowa 4 Hamad Mohamed kisima cha maji kilichojengwa na mtandao huo,wilayani Ushetu Mkoani Shinyanga.Kina thamani ya shilingi milioni16 /- |


No comments:
Post a Comment