
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Kuchapisha Magazeti ya Global (Global Publisher Ltd) Bw. Erick James
Shigongo(kushoto) akimsikiliza mmoja wa wanakamati ya maandalizi ya
Kongamano la Kimataifa la Uongozi(GLS) Bi. Eva Klerruu leo Jijini Dar es
Salaam.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Kuchapisha Magazeti ya Global Bw. Erick James Shigongo akifanya usajili
katika Kongamano la Kimataifa la Uongozi(GLS) leo Jijini Dar es
Salaam.Katikati ni Mkuu wa Uendeshaji wa Kongamano la Kimataifa la
Uongozi( Global Leadership Summit) Bw. Peter Mayunga.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Kuchapisha Magazeti ya Global Bw. Erick James Shigongo akielezea
historia ya maisha yake alipokuwa akiwasilisha maada kuhusu namna ya
kurejea katika ndoto ya maisha baada ya kuanguka wakati wa Kongamano la
Kimataifa la Uongozi(GLS) leo Jijini Dar es Salaam.Aliyesimama ni Bw.
Severin Faustine (55) Aaliyekuwa amefungwa kwa sasa anasaidiwa na
Shigongo kwa dhana ya kuwa na upendo kwa wakosaji na si kuwachukia.

Baadhi ya washiriki wa Kongamano
la Kimataifa la Uongozi( Global Leadership Summit) wakifuatilia mada
kutoka kwa wawasilishaji mbalimbali. Kongamano hilo limefanyika na
kuwakutanisha viongozi wa Dini, wafanyabiashara na wanasiasa.


No comments:
Post a Comment