| Jomaary Mrisho Satura, Mkurugenzi Mtendaji Manispaa ya Lindi, akizungumza wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya ardhi ulioandaliwa na UTT-PID Jijini Dar es Salaam leo. |
| Jomaary Mrisho Satura, Mkurugenzi Mtendaji Manispaa ya Lindi, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya ardhi ulioandaliwa na UTT-PID Jijini Dar es Salaam leo. |
| Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wadau wa sekta ya ardhi ulioandaliwa na UTT-PID Jijini Dar es Salaam leo. |
| Michael Mwambogo Mkuu wa Idara ya Ardhi na Mipangomiji na Maliasili akizungumza wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya ardhi ulioandaliwa na UTT-PID Jijini Dar es Salaam leo. |


No comments:
Post a Comment