Wafanyakazi
wa Vodacom Tanzania,wakimsikiza kwa makini Bw. Robert Mwaisambo Mkazi
wa Morogoro, alipofika kununua simu katika gulio la Smart phone
liliondandaliwa na kampuni hiyo katika viwanja vya sabasaba,Mkoani humo
mwishoni mwa wiki
Wakala
wa Vodacom Tanzania,Abdalla Magala akimfafanulia jambo Alen Anatory
Mkazi wa Morogoro, kuhusiana na simu aliyonunua katika gulio la Smart
phone liliondandaliwa na kampuni hiyo na kufanyika katika viwanja vya
sabasaba,Mkoani humo mwishoni mwa wiki.




No comments:
Post a Comment