KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 8, 2016

WAZIRI JANUARY MAKAMBA ATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA UKUTA WA MTO PANGANI ULIOATHIRIKA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba kushoto akimsikiliza kwa umakini Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso wakati alipofanya ziara wilaya ya Pangani kuangalia maeneo kutakapojengwa ukuta wa mto Pangani na Upandaji wa Miti ya Mikoko
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa ili kuweza kusaidia ukuaji wa uchumi kulia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani(CCM) Jumaa Aweso kulia ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Mayungi akisisitiza jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba kuhusu hatua wanazochukua kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Mto Pangani
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba katikati akitazama namna mto Pangani ulivyoliwa kutokana na mabadiliko ya Tabia ya nchi wakati alipofanya ziara ya kuutembelea leo kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso kulia ni Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba katikati akitazama namna mto Pangani ulivyoliwa kutokana na mabadiliko ya Tabia ya nchi wakati alipofanya ziara ya kuutembelea leo kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso kulia ni Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo
Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo akimuonyesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba katikati maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mabadiliko ya tabia ya nchi kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso kulia ni 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba wa pili kutoka kushoto akitembelea maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye katika Pangani kushoto ni Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo

No comments:

Post a Comment