![]() |
Waziri
wa Afya ,Maendeleo ya jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu
amekutana na Rais na Mkurugenzi wa EngenderHealth Bi. Ulla Muller pamoja
na Mwakilishi Mkazi wa shirika la linaloshughulika na masuala ya Afya
ya Uzazi na Uzazi wa mpango kwa Wanawake na Wasichana la
EngenderHealth Richard Killian walipomtembelea ofisini kwakwe Jijini Dar
es Salaam.
Waziri
Ummy Mwalimu amesema hivi sasa asilimia 27 ya wanawake wa Kitanzania
ndio wanaotumia njia za uzazi wa mpango ambapo serikali ilijiwekea
malengo mwaka 2012 kwamba ifikapo mwaka 2020 ifikie asilimia 50 ya
matumizi ya njia ya uzazi wa mpango.
|
![]() |
| Mwakilishi Mkazi wa Shirika la linaloshughulika na masuala ya Afya ya Uzazi na Uzazi wa mpango kwa Wanawake na Wasichana la EngenderHealth Richard Killian( katikati) akizungumza na Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,jinsia,Wazee na Watoto mapema leo kwenye ofisi ya waziri huyo,Kushoto ni Rais na Mkurugenzi mtendaji wa Shirika hilo bi. Ulla Muller na kulia ni Waziri Ummy Mwalimu. |
![]() |
| Waziri
wa Afya ,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy mwalimu
akiongea na Rais pamoja na Mwakilishi mkazi wa Shirika la
EngenderHealth walipomtembelea ofisini kwakwe. Waziri Ummy amesema hivi
sasa asilimia 27 ya wanawake wa Kitanzania ndio wanaotumia njia za uzazi
wa mpango ambapo serikali ilijiwekea malengo mwaka 2012 kwamba ifikapo
mwaka 2020 ifikie asilimia 50 ya matumizi ya njia ya uzazi wa mpango
( Picha na Wizara ya Afya)
|





No comments:
Post a Comment