Dar es Salaam leo. ZIKIWA zimebakia siku 15 kwa promosheni ya”Kamata Mpunga”kuisha na mshindi mmoja wa droo ya mwisho atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 100. Leo hii mkazi wa
Moshi mjini Hassan Ochieng
amejinyakulia
kitita cha shilingi milioni 20/= na Mkazi wa singida mjini ambaye ni
muuza mitumba Bw. Aman Manyenye amejinyakulia kitita cha shilingi
Milioni 5/= pamoja na
Joseph Machima,Mkazi wa Sengerema Mkoa wa Mwanza.
“Meneja
Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu ametoa wito kwa wateja wa
kampuni hiyo na watanzania wote kwa ujumla ambao hawajajiunga na mtandao
huo waweze kujiunga
na kuchangamkia frusa hii yakipekee kabisa kwani kila siku kuanzia
Jumatatu hadi Jumamosi kuna washindi 3 ambapo kila mshindi anajinyakulia
shilingi Milioni 1/- na kila mwisho wa wiki yaani Jumapili kuna mshindi
mmoja wa Milioni 5/= na mwisho wa mwezi kuna
mshindi wa milioni 20/= na kuna mshindi wa zawadi kubwa ya mwisho wa
promosheni ni ya kitita cha shilingi Milioni 100/=
Ili
mteja aweze kushiriki katika promosheni hii ni rahisi sana mteja
anachotakiwa kufanya ni kutuma ujumbe mfupi wa maneno kwa kuandika neno
“GO” kwenda namba 15544 ambapo atapata ujumbe wa
kumfahamisha kuwa ameingia kwenye mchezo na ataanza kupokea maswali
atakayotakiwa kuyajibu kwa ajili ya kujiongezea pointi za ushindi na
mteja atakatwa shilingi 300 tu kwenye muda wake wa maongezi
”.
maswali atakayopokea mteja yatakuwa na majibu 2 moja likiwa jibu sahihi na lingine likiwa sio sahihi.
Kuna wateja wengine hawana nafasi ya kujibu maswali ili wasipitwe na promosheni hii wanatakiwa kutuma neno
“WIN” kwenda namba 15544 na atakatwa kiasi cha shilingi 200 tu watakuwa hawahangaiki kujibu maswali ila watakuwa wameingizwa kwa droo moja kwa moja.
v
Mpaka sasa jumla ya washindi
327 wamejinyakulia fedha mbalimbali tangu kuanza kwa promosheni hii.
v
Washindi
297
wamejishindia Milioni mojamoja kila mmoja
v
Washindi
18
wa wiki wamejishindia shilingi Milion 5/5 kila mmoja
v
Pia washindi
4
wameondoka na kitita cha shilingi Milioni 20/-




No comments:
Post a Comment