Mkuu wa mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo(kushoto)akipokea kutoka kwa
Mhandisi Shin Pil Soo sehemu ya msaada mabati 300 na mifuko ya Sementi
500 iliyotolewa na Kampuni ya ujenzi ya Hanil Jiangsu Joint Venture Ltd
inayojenga barabara ya Sakina hadi Tengeru yenye urefu wa kilometa 14.1
,kulia ni Meneja wa Tanrods mkoa wa Arusha,Mhandisi John Kalupale,msaada
huo umetolewa kwa Mkuu wa mkoa ili umwezeshe kusaidia shughuli za
maendeleo zilizoanzishwa na wananchi na alikabidhi ili utumike kwaajili
ya ujenzi wa Kituo cha Afya Makuyuni wilayani Monduli. |
No comments:
Post a Comment