KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 13, 2017

RAIS SHEIN ATEMBELEA OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI

ZIME
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Salum Kassim Ali (wa pili kulia) wakati alipotembelea majengo ya Ofisi za Tume hiyo leo Maisara Mjini Unguja.
ZIME 2
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe,Jecha Salim Jecha wakiteremka Ngazi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Ujumbe wake,wakati alipo tembelea majengo ya Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilizopo  Maisara Mjini Unguja.
ZIME 3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiangalia vitabu mbali mbali wakati alipofika chumba cha Maktaba katika Ofisi ya Tume ya uchaguzi Zanzibar iliyopo Maisara mjini Unguja leo wakati alipofanya ziara maalum (kulia) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe,Jecha Salim Jecha.
ZIME 4
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipokea kitabu cha Sheria kutoka kwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Salum Kassim Ali (kushoto) alipofika  chumba cha Maktaba katika Ofisi ya Tume ya uchaguzi Zanzibar iliyopo Maisara mjini Unguja leo wakati alipofanya ziara maalum (kulia) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe,Jecha Salim Jecha.
ZIME 5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe,Jecha Salim Jecha (katikati) wakati alipokuwa akiyaangalia magari ya Tume hiyo leo   wakati alipofanya ziara maalum kutembelea Ofisi za Tume hiyo  huko Maisara Mjini Unguja (kulia) Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Salum Kassim Ali  ,[Picha na Ikulu.] 13/02/2017.

No comments:

Post a Comment