 |
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
akizungumza na Gavana wa Lubumbashi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Congo Jean Claude Kazembe kuhusu mipango endelevu ya matumizi mazuri ya
Bandari ya Dar es Salaam ofisini kwake jijini Dar es salaam. |
Ujumbe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Congo ukiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa, Makame Mbarawa na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya
Bandari Tanzania (TPA), Eng, Deusdedit Kakoko leo, jijini Dar es salaam.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
No comments:
Post a Comment