Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika
BERAK(katikati) pamoja na Mshauri wa Uchumi wa Ubalozi wa Ufaransa
Bi. Beatrice Alperte (kushoto), Ikulu jijini Dar es salaam.
Balozi
wa Ufaransa alimueleza Mhe. Makamu wa Rais juu ya Kongamano kubwa la
Biashara litakalofanyika Dar es Salaam mwezi Aprili, Kongamano hilo
litajumuisha makampuni 50 kutoka Ufaransa.
Lengo la Kongamano hilo ni kuimarisha mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na Ufaransa. |
No comments:
Post a Comment