![]() |
| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Marais wa Nchi nyengine wakipiga ngoma kama ishara ya ufunguzi wa mkuutano wa kwanza wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli,mkutano huo ulifanyika jana katika ukumbi wa Balai Sindang Mjini Jakarta Indonesia . |
![]() |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kushoto)akiwa na ujumbe wake
jana baada ya kumalizika kwa mkuutano wa kwanza wa Nchi zinazopakana na
Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri
ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli,mkutano huo ulifanyika jana katika
ukumbi wa Balai Sindang Mjini Jakarta Indonesia,(kushoto) Rais wa
Sychells Mhe,Danny Faure,
[Picha Ikulu.]
|




No comments:
Post a Comment