![]() |
Na Pamela Mollel Arusha
MFUKO wahifadhi ya wafanyakazi wa serikali za mitaa,LAPF,umeipongeza serikali kwakulipa malimbikizo ya madeni ambayo mfuko huo na mingine ilikuwa ikiidai kwamiaka mingi na hivyo kuathiri usitawi wa mifuko > hiyo..Meneja wa LAPFkanda ya kaskazini, Rajabu Kinande, > amesema hatua ya serikali kulipa madenihayo kumeiongezea > mifuko ya hifadhi ya jamii uwezo wa kuhudumia wanachama > waokwa wakati. Kinande, ameyasemahayo Marchi 7 jijini > Arusha,alipokuwaakizungumza na vyombo vya habari kwenye > kituo cha mikutano ya kimataifa, AICC,kuelezea hatua ya > maandalizi ya mkutano mkuu wa siku mbili wa mwaka wa wadau > waLAPF.Amesema mkutanohuo utafunguliwa na Waziri mkuu > waJamhuri ya muungano wa Tanzania,Mh,Majaliwa Kassim > Majaliwa,Marchi 10 mwaka huu ambapo zaidi ya wanachama 1000 wa > mfuko huo wanatarajiwa kuhudhuria.Awali MenejaMawasiliano na > Masoko wa LAPF,James Mloe, amesema kuwa kwenye mkutano > huokutawasilishwa mada mbalimbali zikiwemo Uendeshaji wa > shughuli za mfukohuo,Hesabu zilizokaguliwa na mkaguzi mkuu > wa hesabu za serikali(CAG)za mwaka 2015/16ambapo mfuko huo > umepata hati safi ya ukaguzi wa hesabu ,UKusanyaji wa > michango ulipaji wa mafao kwa wanachama na > uwekezaji,Utawala bora na usimamizi wa uendeshajiwa mfuko > huo na Raslimali fedha .Amesema sikuya kwanza ya mkutano huo > Marchi 9 kwa kuzingatia kuwa ni siku ya Figo dunianimfuko > umeandaa upimaji wa figo bure kwa wanachama wote ambao > utafanywa naMadaktari bingwa. .Mloe,amesema siku ya pili ya > mkutano huoWaziri mkuu Kassim Majaliwa atazindua program > mpya ya mikopo kwa wanachama kwa kushirikiana na benki ya > CRDB,iitwayo Maisha popote ambao ni mkopo wakwanza > kutolewa na mfuko huo.Amesemakauli mbiu ya mwaka huu ni > kuibua fursa endelevu za ajira kwa maendeleo endelevu kwa > watanzania.Kuhusuuwekezaji kwenye viwanda,Mloe, amesema kuwa > LAPF, imeweka mitaji kwenye viwanda ambako tayari > wameweka hisa zao .Amesema kuwaLAPF,haiwezi kujenga viwanda > na kuvisimamia uendeshaji wake bali itaweka mitajina > kusisitiza kuwa LAPF itabakia kwenye jukumu lake la msingi > la kulindamichango ya wanachama wake. Mwisho .
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa kufungua mkutano wa LAPF, kesho jijini Arusha
|
March 9, 2017
WAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA LAPF,JIJINI ARUSHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment