KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 30, 2017

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 37, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 30, 2017


NAJMA
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
ISAC
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 3 Mhe Waziri Mkuu na Sakaya
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Kaliua(CUF) Mhe.Magdalena Sakaya katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 4 Ndalichako
Waziri wa Elimu,Sayansi  na Teknolojia Mhe,Prof.Joyce Ndalichako akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 5 Mhe.Kairuki
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 6 kigwangala
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo yaJamii,Jinsia,Wazeena Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 7 Mhe.Kolimba
NaibuWaziriwa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk.Susan Kolimba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 8 Mhe.Mwijage
Waziri waViwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 9 Mhe.Mpango
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.PhilipMpango akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa m wakawaFedha 2017/2018 katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.  
PIX 10 Mhe.Faida
Mbunge wa VitiMaalum (CCM) Mhe.Faida Bakar akiuliza swali katika kikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 11 Mhe.Amina Mollel
Mbunge wa VitiMaalum (CCM) Mhe.Amina Mollel akiuliza swali katikakikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 12 Mwakyembe na Wambura
WaziriwaHabari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akizungumza jambo na Naibu wake Mhe.Anastazia Wambura katika kikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
PIX 14 Mhe Mhagama na Msigwa
WaziriwaNchi Ofisi ya Waziri MkuuSera,Bunge,Ajira,Kazi,Vijana naWatuwenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijadili jambo na Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA) Mhe.Peter Msigwa katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017. 
PIX 15 George Masaju
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju akifafanua jambo katika kikao cha 35 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11leoMjini Dodoma Mei 26, 2017.Kushoto kwakeni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira,Kazi,VijananaWatu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagamana Kulia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

No comments:

Post a Comment