KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 29, 2017

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 36, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 29, 2017.

NIO1
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiingia Bungeni kwa ajili ya kuongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
NIO2
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
NIO3
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akijibu maswali mbalimbali kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
NIO4
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Ritha Kabati akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
NIO5
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt Agustine Maige pamoja na Naibu wake Mhe. Susan Kolimba wakijiandaa kuwasilisha Bajeti ya Wizara yao kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
NIO6
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
NIO7
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
NIO8
Mbunge wa Mtwara Vijijini (CCM) Mhe. Hawa Ghasia akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
NIO9
Naibu Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
NIO10
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Charles Tizeba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
NIO11
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
NIO12
Mbunge wa Kalambo Mhe. Josephat Kandege akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.

No comments:

Post a Comment