|
Naibu Waziri wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,akizungumza na waandishi wa habari baada ya Kuzindua Mpango wa Kuwasaidia Wakimbizi
na Nchi zinazohifadhi Wakimbizi (CRRF Tanzania). Uzinduzi huoumefanyika leo katika
Ukumbi B wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyererejijini Dar es
Salaam. Kushotoni Mkurugenzi wa Idara ya Kuhudumia Wakimbizi, Harrison
Mseke. Pichana Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi
|
No comments:
Post a Comment