KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 16, 2017

UCHAGUZI TFF: WAMBURA ACHUKUA FOMU

wambura
Katibu Mkuu wa zamani wa TFF, Michael wambura amechukua fomu ya kuwania umakamu rais.
Wambura amechukua fomu hizo leo kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania tayari kuwania hiyo inayoshikiliwa na Warres Karia.

No comments:

Post a Comment