KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 25, 2017

VIGEZO VYA KUPEWA VITAMBLISHO VYA URAIA HIVI HAPA




Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewatangazia wananchi wote wakazi wa Dar es salaam kuwa watapatiwa ofa maalum ya vitambulisho vya uraia siku ya maonyesho ya sababa ya 41 yanayotarajiwa kufanyikia katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini DSM.Aidha,taarifa hiyo imeeleza kwamba usajili huo utafanyikia kwenye banda la NIDA kuanzia tarehe 28 Juni hadi Julai 10 mwaka huu

No comments:

Post a Comment