KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

July 24, 2017

JK AFUNGUA MKUTANO WA WATOA HUDUMA ZA AFYA NA WAMILIKI WA VITUO VYA AFYA NA WATAALAMU WA AFYA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI, JIJINI DAR LEO

Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati akifungua mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje ambao unaogozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu Pamoja na mabalozi na viongozi mbali mbali wa serikalini na sekta binafsi kujadili mustakabali wa sekta ya afya wa Tanzania na nchi shiriki hasa jinsi ya kuboresha sekta binafsi.Mkutano huo ulioandaliwa na Chama cha watoa huduma wa vituo vya Afya binafsi nchini Tanzania (APHFTA),unatarajiwa kufanyika kwa siku mbili  jijini Dar es Salaam. Picha na Kajunason, Globu ya Jamii.
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje ambao unaogozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu Pamoja na mabalozi na viongozi mbali mbali wa serikalini na sekta binafsi kujadili mustakabali wa sekta ya afya wa Tanzania na nchi shiriki hasa jinsi ya kuboresha sekta binafsi. Mkutano huo ulioandaliwa na Chama cha watoa huduma wa vituo vya Afya binafsi nchini Tanzania (APHFTA),unatarajiwa kufanyika kwa siku mbili  jijini Dar es Salaam. Picha na Kajunason, Globu ya Jamii.                                             

No comments:

Post a Comment