Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Wananchi
wa Kariua Mkoani Tabora wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Kariua
-Kazirambwa yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami
Mkoani Tabora. Picha na IKULU

Maelfu ya wananchi wa Kariua na
Viunga vyake Wakimsikiliza Mh Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwahutubia wakati wa Ufunguzi
wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa
kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora

Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli,akiwapungia Mikono kwa Kuwasalimia Wananchi wa Kariua na Viunga
vyake Walio jitokeza kumsikimsikiliza Mh Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakati wa Ufunguzi
wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa
kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe
kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Tabora Ndono – Urambo yenye urefu wa
kilometa 94 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora

Maelfu ya wananchi wa Kariua na
Viunga vyake Wakimsikiliza Mh Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwahutubia wakati wa Ufunguzi
wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa
kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora

No comments:
Post a Comment