KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 25, 2017

TANESCO KANDA YA KASKAZINI YAUNGANISHA WATEJA WA MUDA MREFU KWA ASILIMIA 89.9

DSC_9885
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini akiwa  katika ofisi ya TANESCO, mkoa wa Tanga. Anayesalimiana naye ni Meneja Wa TANESCO mkoa wa Tanga, Mhandisi Abdulrahman Nyenye na kulia kwake ni Meneja wa TANESCO kanda ya Kaskazini, Mhandisi Stella Hiza.
DSC_9903
Mhandisi Stella Hiza akisoma ripoti ya utekelezaji wa majukumu katika Kikao na Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini, Prof. James Mdoe
DSC_9937
Kaimu Katibu Mkuu akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa TANESCO, Mkoa wa Tanga, Mhandisi Abdulrahman Nyenye.

No comments:

Post a Comment