KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 21, 2017

SIMBA YAILAMBA MJI NJOMBE 4-0

Mabeki wa Timu ya Njombe Mji pamoja na Kipa wao, wakijaribu kuuzuia mpira uliokuwa ukiekea langoni mwao baada ya kuligwa vizuri na Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi na kuandika goli la kuongoza, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliopigwa leo uwanja wa Uhuru na Simba kushinda 4-0
Mshambuliaji wa Njombe Mji, Jimmy Mwaisondela akipokea mpira kwa ustadi kabisa, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliopigwa uwanja wauhuru na Simba kushinda 4-0

No comments:

Post a Comment