Wabunge
wa Chadema, Susan Kiwanga (Mlimba) na Peter Lijualikali wa Kilombero na
wafuasi wengine 55 wa chama hicho wamefika katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi Mkoa wa Morogoro kusikiliza kesi inayowakabili.
Huku wakiwa na wakili wao, Fred Kalonga wabunge hao wamefika mahakamani hapo leo asubuhi Machi 28, 2018.
Kwa
pamoja wanakabiliwa na na mashtaka manane ikiwemo kuharibu mali katika
uchaguzi mdogo wa marudio wa udiwani kata ya Sofi, Novemba 26, 2017
katika Wilaya ya Malinyi mkoani humo



No comments:
Post a Comment