MAMBO 24 UNAYOTAKIWA KUYATIMIZA ILI KUPATA AJIRA ZILIZOTANGAZWA NA POLISI
Jeshi
la Polisi nchini linatangaza nafasi za ajira kwa mwaka 2017/2018 kwa
vijana waliopita mafunzo ya JKT/JKU ambao wamemaliza mafunzo ya awali
katika operesehi Kikwete na Operesheni Magufuli wenye elimu ya kidato
cha nne, cha sita, astashahada, stashahada, shahada ya juu.
No comments:
Post a Comment