Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco Dkt. Alexander Kyaruzi
alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll
eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam jana.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Dkt.Tito
Mwinuka alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam jana Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mwakilishi wa Balozi wa Japani nchini Bw. Hiroyuki
alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll
eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam jana Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Segerea Mhe. Bonna Kaluwa alipowasili
kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la
Kinyerezi jijini Dar es salaam jana Aprili 3, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati Mhe.
Dunstan Kitandula alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240
wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo toka kwa Waziri wa Nishati Dkt. Menard kalemani kabla
ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la
Kinyerezi jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Dkt.Tito
Mwinuka kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi
ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam

No comments:
Post a Comment