RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI TPB
Rais John Magufuli amemteua Dkt. Edmund Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB). Dkt. Mndolwa anachukua nafasi ya Prof. Lettice Rutashobya ambae amemaliza muda wake.
No comments:
Post a Comment