KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 23, 2014

KAMPENI YA USALAMA BARABARANI YAPAMBA MOTO MBEYA


Displaying 001.MBEYA.jpg
.Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Mbeya Mkunde Said  (kushoto)akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Fikiri Sabigo kwa kutumia kifaa maalum wakati wa upimaji madereva ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani  ya”Wait to Send” unaohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi wakati wakiwa wanaendesha vyombo hivyo.Katikati ni Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya Nyanda za juu kusini Macfadyne Minja Zoezi hili lilifanyika leo katika kituo kikuu cha mabasi mkoani Mbeya yaendayo mikoani katika mwendelezo wa kampeni hiyo inayofanyika nchi nzima na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Displaying 003.MBEYA.jpg
Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Mbeya Mapunda Ahmed (kulia)akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Simon Mwalugu kwa kutumia kifaa maalum wakati wa upimaji madereva ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani  ya”Wait to Send” unaohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi wakati wakiwa wanaendesha vyombo hivyo.Katikati ni Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya Nyanda za juu kusini Macfadyne Minja.Zoezi hili lilifanyika leo katika kituo kikuu cha mabasi mkoani Mbeya yaendayo mikoani katika mwendelezo wa kampeni hiyo inayofanyika nchi nzima na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Displaying 007.MBEYA.jpg
Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Mbeya Mapunda Ahmed (kulia)akihakiki leseni ya dereva wa mabasi yaendayo mikoani Simon Mwalugu(kushoto)wakati wa zoezi la kupima kiwango cha pombe mwilini kwa madereva wa mabasi ya kwenda mikoani, kwa kutumia kifaa maalum ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani  ya”Wait to Send” unayohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi wakati wakiwa wanaendesha vyombo hivyo.Katikati ni Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya Nyanda za juu kusini Macfadyne Minja.Zoezi hili lilifanyika leo katika kituo kikuu cha mabasi mkoani Mbeya.                                                                     

No comments:

Post a Comment