KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 24, 2014

KWA WENZETU: BILIONEA WA HONGKONG AFUNGWA MIAKA MITANO JELA KWA RUSHWA NAYE MTUMISHI WA UMMA ALIYEPOKEA RUSHWA AFUNGWA MIAKA SABA


 
(Reuters) - Mwenyekiti wenza wa kampuni ya  Sun Hung Kai Properties Ltd, ya Hongkong,Thomas Kwok (pichani) amefungwa jela miaka mitano kwa kosa la rushwa sanjari na kulipa faini ya hela za Hongkong HK$500,000 sawa na dola za Kimarekani 64,440.

Mfanyakazi wa umma Rafael Hui, naye amehukumiwa miaka saba jela kwa kosa hilohilo kwa kuwa alishirikiana na Kai katika ufisadi huo

Hukumu hiyo inaonyesha ni jinsi gani wafanyabiashara wakubwa wanavyoshirikiana na vuiongozi wa serikali katika ufisadi, Hui ameamrishwa na mahakama kuikabidhi rushwa aliyopokea kutoka kwa Kwok serikalini inafikia  HK$11.182 .

No comments:

Post a Comment