Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto)
akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir
Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo
la Donge, Zanzibar.Mh. Lowassa yuko visiwani Zanzibar kwa mapumziko ya
Krismasi. Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto)
akielezwa jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir
Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo
la Donge, Zanzibar.Mh. Lowassa yuko visiwani humo kwa ajili ya mapumziko
ya Krismasi.
No comments:
Post a Comment