Doha, Qatar. Serikali ya Qatar inajenga bandari mpya katika eneo la jangwa, mradi unaogharimu Dola za Marekani 80 bilioni na ikimteua raia wa Tanzania asimamie kazi hiyo.
Ujenzi huo unatokana na Serikali ya nchi hiyo kuamua kuhamisha bahari na kuipeleka katika eneo hilo la jangwa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliyemaliza ziara ya
kuzitembelea nchi za Falme za Kiarabu juzi usiku, alitembelea mradi huo
wa bandari mpya ambao unajengwa eneo la jangwa na baadaye kuelekeza maji
ya bahari kufika eneo hilo.MWANANCHI
No comments:
Post a Comment