View the slide show
KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668
www.utt-pid.org
TEMBELEA: www.utt-pid.org
December 23, 2014
NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MAHMOUD THABIT KOMBO AFANYA ZIARA KATIKA VITUO VYA AFYA MKOA WA KASKAZINI ”A” UNGUJA.
Mkuu wa kituo cha Afya Mkokotoni akiwaonyesha wawakilishi wa UNICEF Bibi Fransisca na mwenzake wa WHO Ghirmany jiko la kuchoma takataka za Hospitali hiyo. Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Wawakilishi wa UNICEF na WHO wakiangalia takwimu za wagonjwa waliopata matibabu katika Hospitali kuu ya Wilaya kwa kipindi cha miezi 11 kunzia Januari walipofanya ziara na Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo Wilaya ya Kaskazini A Unguja. Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Daktari dhamana wa Hospitali ya Kivunge Khamis Hamad akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na ujumbe aliofuatana nao walipofanya ziara kuangalia utendaji wa kazi na kujitambulisha.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment