Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Qatar Sheikh
Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu
wa Qatar iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara
ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014 Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh
Abdullah Nasser Al Thani kwenda kwenye chumba cha mikutano baada ya
kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha kwa mazungumzo
ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21,
2014.
No comments:
Post a Comment