Amiri
Jehi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Dkt.Hussein Ally Mwinyi(kushoto) Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
na Usalama Jenerali Davis Adolf Mwamunyange wakiweka jiwe la msingi
kuzindua rasmi ujenzi wa nyumba za maafisa wa jeshi huko Monduli mkoani
Arusha jana.Katika mradi huo jumla ya nyumba elfu kumi zinatarajiwa
kujenga katika kambi mbalimbali za jeshi nchini
No comments:
Post a Comment