KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 26, 2015

BREAKING NEWS: ISMAIL JUSSA KUTEMA CHECHE WASHINGTON D.C., FEB 28, 2015



  

Ismail Jussa (Muwakilishi wa Stone, Town, Zanzibar) kupitia chama cha CUF na mjumbe wa UKAWA atakuwepo Washington, D.C. (DMV) kuongea na waTanzania Jumamosi February 28, 2015 kuanzia saa 10 jioni hadi mbili usiku (4pm-8pm). Zingatia muda
Agenda;Mchakato wote wa Katiba mpyaUfafanuzi juu ya muundo wa serikali tatuUamuzi wa UKAWA kususia mchakato huo dhalimu Kwa nini Diaspora walitengwa kutoa maoni na uraia pachaMaswali na majibu bila kikomo

No comments:

Post a Comment