KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 29, 2015

BENKI YA NBC YASAIDIA WALEMAVU WA NGOZI

Displaying 01.JPG
Mkuu Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Mussa Jallow (wa tano kulia) akikabidhi msaada wa pikipiki kwa  Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Mkoa wa Pwani, Thomas Diwani Mponda katika hafla ambayo NBC pia ilikikabidhi msaada wa hundi ya shs milioni 3.2, kompyuta,  kofia na mafuta maalumu ya ngozi vikiwa na lengo la kuwasaidia na matatizo yanayowakabili kutokana na hali hiyo inayotokana na kurithi vinasaba kutoka kwa wazazi. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni baadhi ya maofisa wa NBC na kutoka chama cha albino.
Displaying 04..JPG
Meneja Udhibiti wa Sheria wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Mwanakombo Joshua (wa pili kulia) akikabidhi msaada wa kampyuta kwa Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Mkoa wa Pwani, Thomas Diwani Mponda katika hafla ambayo NBC pia ilikikabidhi msaada wa hundi ya shs milioni 3.2, pikipiki , kofia na mafuta maalumu ya ngozi vikiwa na lengo la kuwasaidia na matatizo yanayowakabili kutokana na hali hiyo inayotokana na kurithi vinasaba kutoka kwa wazazi. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa NBC na kutoka chama cha albino.
Displaying 05.JPG
Ofisa Uchunguzi wa Idara ya Udhibiti wa Sheria wa Benki ya NBC, Mathias Raymond (wa pili kulia) akikabidhi msaada kompyuta  kwa mmoja wa wawakilishi kutoka Chama Cha Albino Tanzania Mkoa wa Pwani, Haika Ngowo, katika hafla ambayo NBC pia ilikikabidhi msaada wa hundi ya shs milioni 3.2, pikipiki, kofia na mafuta ya ngozi vikiwa na lengo la kuwasaidia na matatizo yanayowakabili kutokana na hali hiyo inayotokana na kurithi vinasaba kutoka kwa wazazi. Wengine ni baadhi ya maofisa wa NBC na kutoka chama cha albino.
Displaying 06.JPG
Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti wa Sheria wa NBC,  Joyce Mbago (wa tatu kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya sh milioni 3.2 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Mkoa wa Pwani, Thomas Diwani Mponda katika hafla ambayo NBC pia ilikikabidhi msaada wa  pikipiki , kofia, kompyuta  na mafuta maalumu ya ngozi vikiwa na lengo la kuwasaidia na matatizo yanayowakabili kutokana na hali hiyo inayotokana na kurithi vinasaba kutoka kwa wazazi.                                    

No comments:

Post a Comment