KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 29, 2015

ZITTO KABWE ACHAGULIWA KUWA MKUU WA CHAMA CHA ACT TANZANIA

Zitto akihutubia wajumbe.
Wajumbe wakifurahi kwa kushikana mikono kuonyesha umoja.
Wajumbe wakipiga kura.
Zitto Kabwe, akilakiwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho, wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika kwenye ukumbi wa Kadinali Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Jumamosi Machi 28, 2015
 Askofu Gerald Mpango akiongoza sala.
Mzee Kasisiko, akiwakilisha waislamu kuomba dua.
Aliyekuwa katibu mkuu wa muda wa ACT-Tanzania, Samson Mwigamba, akihutubia.
Msimamizi wa uchaguzi huo, Profesa Kitila Mkumbo.         
 
Zitto alichaguliwa kuwa kiongozi wa chama hicho nafasi ambayo kwa katiba ya chama hicho ndiyo ya juu zaidi. Nafasi zingine ni Mwenyekiti wa chama, na makamu wake, wa Tanzania visiwani na Tanzania bara, hali kadhalika nafasi ya ukatibu mkuu na manaibu wake wiwili. 
 
Mama Anna Mughwira kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa chama cha ACT Wazalendo na kuweka rekodi nchini Tanzania. Mwenyekiti wa Taifa kuwa mwanamke.
Wajumbe wa NEC wa ACT Wazalendo waliochaguliwa
Zanzibar
Halima M Hamis
Said Ismail
Rashid S Ali
Juma Said Saanane 
Halua Ali Amali
 
Tanzania Bara
Marunga Msimba
Ali Mwinyi 
Sophia Yamola
Fungo G Benson
Charles Lubala
Godfrey Sanga 
Likapo B Likapo
Batulo Ibrahim 
Kirungi A Kirungi 
Alex Nsanga
Chama hicho kitazinduliwa rasmi leo Jumapili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.                                     
                   

No comments:

Post a Comment