Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe.Anne Kilango akijibu swali lililoulizwa na Mhe.Roseweeter Kasilika (Viti Maalum) lilihoji juu ya Serikali kutilia maanani Mwongozo kwa Elimu ya Awali,Mjini Dodoma tarehe 24/03/2015 |
Waziri Mkuu Mhe.Peter Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Maji Mhe.Amos Makalla ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati kikao cha bunge kinaendelea Mjini Dodoma,tarehe 24/03/2015. |
Baadhi ya Mawaziri na Wabunge wakiwasili katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma kwa ajili ya kuanza kikao cha Bunge,tarehe 24/03/2015. |
Mbunge wa Jimbo la Ole (CUF)Mhe.Rajab Mbarouk akichangia hoja katika Muswada wa Sheria ya Udhibiti na Usimamizi wa Madawa ya kulevya,Mjini Dodoma tarehe 24/03/2015. |
No comments:
Post a Comment