KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 28, 2015

GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI,ADAIWA KUZIMIA WAKATI WA MAHOJIANO

gwajima
Jana kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima  ambae amefika kituo kikuu cha Polisi Dar kwa ajili mahojiano na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutoa kauli zenye maneno makali kwa kiongozi wa Kanisa Katoliki, Askofu Kardinali Pengo.
Askofu Gwajima amesema maneno aliyoyatoa ni ya kumkemea kiongozi mwenzake wa kiroho kwa madai ya kukiuka msimamo wa viongozi wenzake wa dini wa kukataa Mahakama ya Kadhi.
gwa (1)

Baraza la Maaskofu Tanzania waliamua kwa pamoja na wakasaini waraka kwa pamoja, kwamba hawataki Mahakama ya Kadhi… lakini tukashangaa mwenzetu Askofu Pengo aliyesaini na yeye anageuka sasa tukajiuliza kwa nini anageuka? mimi kama kiongozi wa kiroho nikaona nimkemee.. lakini nimeitwa na Polisi sasa najiuliza niliyemkemea ni Polisi au nilimkemea nani? –Askofu Gwajima.

No comments:

Post a Comment