KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 31, 2015

KUTOKA UTT-AMIS: NANI ANARUHUSIWA KUWEKEZA KATIKA MIFUKO HII?

Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT-AMIS, Daud Mbaga akizungumza katika moja hafla za taasisi hiyo.


Swali :Nani anaruhusiwa kuwekeza katika mifuko hii?

Jibu: Mifuko hii ni kwa ajili ya watanzania wanaoishi nchini na nje ya nchi.Wanaweza wakajiunga mtu mmoja mmoja au kwa pamoja (jointly), wazazi kuwawekezea watoto wao, vikundi mbalimbali vya kijamii, NGOs, taasisi mbalimbali, mifuko ya hifadhi za jamii, mashirika ya umma, Banks n.k.
 

No comments:

Post a Comment