KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 26, 2015

KUTOKA UTT-AMIS:UNAWEZAJE KUJIUNGA NA MIFUKO INAYOENDESHWA NA UTT-AMIS?

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEZfv8jlCTClUG7KuNgNzATE1SLZOCTMBNpGO7EZLlagVUbodRuqM-nZpMIkgwZPjLrJ7MhXM1TE_BYAdyNewMfVfGAdmp-IF1ClUsLQaxvQ4tg5oE0aPlTjB9065WyQop0E0P_kWfIKA/s1600/amis.jpg
Afisa Mwendeshaji Mkuu wa UTT-AMIS,Simon Migangala.                            

Swali:Nawezaje kujiunga na mifuko inayoendeshwa na UTT-AMIS?
 
Jibu:Ni rahisi, kwa kutembelea Makao makuu yetu yaliyopo jengo la Sukari ghorofa ya pili. Au tembelea ofisi zetu katika mikoa au matawi CRDB nchini kote kujaza fomu ya maombi kwa ajili ya mfuko husika. Unapaswa kuwa na kitambulisho kama vile  Kitambulisho cha mpiga kura , Kitambulisho cha utaifa, Pasipoti, leseni ya kuendesha gari, au kitambulisho cha kazi. Baada ya kujaza fomu akaunti ya mfuko maalum itafunguliwa na utaweza kuanza kuwekeza.

No comments:

Post a Comment