KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 25, 2015

NYIE WAZUNGU SI MNA HELA? LEO MMEKUJA KUFANYA UJAMBAZI BONGO,MTAWEZA MAISHA YA SEGEREA?

Hapa yamekimbilia kwenye apartment yao baada ya kufanya uhalifu
Gari yaliyotumia kupora
'Ingia haraka '
Yakipandishwa kwenye gari
Majambazi yakiwa yametulizwa ndani ya gari la polisi, Habari zinasema kuwa polisi mkoani Dar es salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa Italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi, Polisi walianza mapambano nao kuwatia nguvuni baada ya kuwadhibiti na risasi.      

No comments:

Post a Comment