WAZIRI MEMBE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA UHURU WA NAMIBIA
u
Balozi Isaack akitoa hotuba wakati wa maadhimisho hayo
Waziri Membe na Balozi Isaack wakikata keki kuadhimisha miaka 25 ya Uhuru wa Namibia
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe
(Mb.) akitoa hotuba wakati wa maadhimisho ya miaka 25 ya Uhuru wa
Jamhuri ya Namibia. Maadhimisho hayo ambayo yaliandaliwa na Ubalozi wa
Namibia hapa nchini yalifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini
Dar es Salaam tarehe 23 Machi, 2015. Namibia ilipata uhuru wake mwaka
1990.
No comments:
Post a Comment