![]() |
Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Brigitta Stephen(kushoto) na Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie Mlay(kulia)wakimshuhudia Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani Iringa,akiowanyesha waandishi wa habari mamilioni yake aliyojishindia kupitia promosheni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. |
Msimamizi wa Bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini, Mrisho Millao (kushoto) akihakiki namba ya simu anayooneshwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) wakati wa kuchezesha droo ya 45 ya promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo na kufanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni , ambapo mshindi wa pili wa kitita cha shilingi milioni 100 alipatikana. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au Auto kwenda 15544. |
No comments:
Post a Comment