Picha ya kwanza Diamond Platnumz akiwa na Princess_Tiffah, jana ilikuwa ni siku ya furaha sana kwa familia ya Diamond Platnumz
ambapo Zari ambaye ni mpenzi wa Diamond alijifungua mtoto wa kike, mtoto
huyu amepata umaarufu sana kwa muda mfupi katika mitandao ya kijamii
hasa instagram ambapo mpaka sasa account yake ina jumla ya Followers 40
elfu. Katika account hii ya @princess_Tiffah imepostiwa picha ya kwanza
ikimuonyesha Diamond Platnumz akiwa na mtoto wake.
No comments:
Post a Comment