![]() |
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa alipokutana na na mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Zanzibar Maalim Seif Hamad Jijini Dar es Salaam hivi karibuni. |
![]() |
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa akiwa kwenye mazungumzo na mgombea Urais kwa tiketi ya Ukawa Zanzibar Maalim Seif Hamad Jijini Dar es Salaam hivi karibuni. |
No comments:
Post a Comment